Hakikisha umetazama video ya somo husika na umesoma vizuri kabla ya kufanya jaribio. Unashauriwa kufuata mwongozo wa somo uliopewa unapojiandaa. Unapaswa kukamilisha jaribio ndani ya muda uliopangwa. Majaribio na mitihani ifanyike kwa uaminifu bila kutumia mwongozo, nukuu ya kozi, au Biblia. Baada ya muda uliopangwa kuisha, utapewa alama za jaribio husika kulingana na ulivyofanya. Unahitaji kupata alama zisizopungua asilimia 80% ili kukamilisha moduli. Pia unaweza kurudia jaribio au mtihani mara nyingi kadiri uwezavyo ili kufikia lengo la alama za ufaulu unaohitajika, lakini itakupasa kusubiri kwa wa muda saa moja kabla ya kurudia jaribio husika.
مدت آزمون: 40 دقیقه
نحوهٔ محاسبهٔ نهایی نمره: بیشترین نمره
نمره قبولی: 24.00 از 30.00