Jaribio - Mamlaka Iliyopo katika Theolojia

Hakikisha umetazama somo kwa njia ya video na umesoma vizuri somo husika kabla ya kufanya jaribio. Unashauriwa kufuata mwongozo wa kujisomea unapojiandaa. Unapaswa kukamilisha jaribio ndani ya muda uliopangwa. Majaribio na mitihani ifanyike kwa uaminifu bila kutumia mwongozo, maandiko ya kozi, au Biblia. Baada ya muda uliopangwa kuisha, utapewa alama za jaribio husika kulingana na ulivyofanya. Unahitaji kupata alama zisizopungua asilimia 80% ili kukamilisha moduli. Pia unaweza kurudia jaribio au mtihani mara nyingi kadiri uwezavyo ili kufikia lengo la alama za ufaulu unaohitajika, lakini itakupasa kusubiri kwa muda saa moja kabla ya kurudia jaribio husika.

Time limit: 40 mins

Grading method: Highest grade